SKENDO ya Dola milioni hamsini zilivyoibwa toka Zanzibar chini ya uongozi wa Rais Mwinyi
SMZ kwa maelekezo ya Mwinyi wamefungia tovuti yetu zanzibarleaks.com na huipati ukiwa Zanzibar hadi utumie VPN. Sisi ni sauti ya vilio vya Wazanzibari wanaoteseka na ufisadi wa kutisha wa serikali…